Programu hii imekusanya nyimbo za kiroho zenye nguvu na mguso wa kipekee wa ibada.
Ni nyimbo za kelele ya usiku wa manane zinazoweza kugusa moyo, kuimarisha imani, na kuita uwepo wa Roho Mtakatifu wa Mungu.
✨ Ndani ya App:
✅ Nyimbo za kuabudu na kusifu
✅ Nyimbo za ibada za usiku wa manane
✅ Kusoma nyimbo hata bila internet
✅ Muonekano mzuri na rahisi kutumia
✅ Updates za nyimbo mpya mara kwa mara
📖 “Nendeni mkamulaki.”
— Matayo 25:6
🙏 Karibu ujazwe uwepo wa Mungu kupitia nyimbo hizi za kiroho.